Saturday, January 21, 2012

NI LINI MWANAMKE HUJISIKIA KUFANYA MAPENZI

mapenzi, kufanya mapenzi

KWA wanaume ambao walishawahi kujihusisha katika uhusiano wa kimapenzi au hata unyumba, ni dhahiri kuwa wakati fulani waliishaambiwa na wake zao au wapenzi wao kuwa hawajisikii kufanya mapenzi. Na kama umewahi kusikia kauli ya 'sijisikii' mara
nyingi kiasi kwamba huwezi kukumbuka idadi, hupaswi kuwa na wasiwasi na kuhisi kuwa pengine una matatizo, kwani wapo wanaume wengine wengi walio pamoja nawe katika mkumbo huu.

Wanaume wengi hulalamika kuwa wake zao, au wapenzi wao hukataa kufanya nao mapenzi mara kwa mara. Kutokana na hali hiyo, baadhi ya wanaweza kujikuta wakiwaweka wapenzi wao katika lawama, baadhi wakidhani wana wapenzi wengine nje na kufikia hatua ya
kufikiria kuwabwaga. ENDELEA KUSOMA HAPA

No comments:

Post a Comment