Sunday, March 29, 2009

Kuma a.k.a Mbunye a.k.a Sambusa a.k.a Kidude....

Kuma a.k.a Mbunye a.k.a Sambusa a.k.a Kidude....


Uke au Kuma ni mwanzo wa kuwepo kwetu na vi levile ni mlango wa sisi sote kuwepo hapa Duniani……sina shaka ndio maana wanaume wakiwa wakubwa wataka kurudi walikotoka kwa njia hiyohiyo kupitia wapenzi wao ... natania tu hehehehe

Baadhi ya wanaume wanafananisha sehemu hii na mdomo kwa kusema kuwa usipokuwa muangalifu wakati unacheza na “lips” mdomo hufunguka na kutoa makali yake (ute) na kisha kukumeza mzima-mzima...hahaha

Kwa kawaida mwanamke huamini kuwa yeye ndio anachukuliwa na mwanume linapokuja swala la kuingiliana kimwili au kufanya mapenzi/ngono , lakini katika hali halisi mwanamke wewe ndio unaemchukua/mmeza/mla mwanaume pale anapokuingizia uume na kisha kuubana/kamua na hatimae anatoa “chakula” au mbegu (manii/shahawa) zinazokufanya ushibe (kuwa mjamzito).

Hivyo kile kitendo cha mwanaume kumwaga alafu uume unapoteza “uhai” wake ni sawa sawa na wewe kummaliza/ua(kumla).

Uke una maeneo matano ambayo yanamfanya mwanamke apate raha na hatimae utamu ikiwa yatafanyiwa kazi ipasavyo, na maeneo hayo ni
-kisimi,
-mwanzo wa uke,
-kuta za uke,
-kipele G na
-eneo la mwisho wa uke.

Soma hapa kwa maelezo zaidi juu ya hayo maeneo matano


Kila eneo lina utamu wake wa kipekee ambao unatofautiana na utagundua hilo ikiwa wewe ni mtu unaependa tendo hili (hulifanyi kama wajibu), ikiwa unafurahia kufanya mapenzi, mdadisi na mwepesi kujifunza basi unaweza ukajaribu kuchezea maeneo hayo kwa kushirikiana na mpenzi wako……utapata uzoefu mzuri ikiwa utajaribu maeneo yote kwa siku moja ili kutofautisha vema.


Uke unatunzwa kama yalivyo maeneo mengine ya mwili au pengine zaidi,
-uke unafanyiwa mazoezi ili kubaki umekaza,
-uke hupakwa mafuta/lotion kuondoa ukavu kama sehemu nyingine ya mwili ika usijaribu kuyaingiza ndani bali paka sehemu ya juu ya uke (pale mavuzi yanaota na maeneo mengine ya karibu),
-uke husafishwa kwa ndani kuondoa utoko na mabaki ya damu wakati wa hedhi.


Sehemu hii ya mwili wa mwanamke hutanuka na kujirudi lakini ikumbukwe tu kuwa unapojifungua zaidi ya mtoto mmoja kwa njia ya asili uke huo huongezeka upana na kupoteza hali yake ya kukaza, kwamba misuli yake hulegea na hivyo kuhitaji mazoezi ya ziada ambayo wazazi huelekezwa mara baada ya kujifungua.


Uke pia hupoteza hali ya kukaza ikiwa mwanamke alianza ngono mapema kabla misuli yake haijakomaa (inasemekana chini ya miaka 20), ktk umri huo mdogo the more unatiana the bigger uke wako will get na unapofikia umri mkubwa sasa, kwamba mwili wako umetengenezeka na mabadiliko yameisha uke wako utabaki kuwa vilevile mpana kwani mabadiliko na ukomavu wa misuli umetokea wakati tayari sehemu hiyo imepanuka (umeizoesha hivyo) na mwili wako utaitambua sehemu hiyo kama ilivyo (pana) na sivinginevyo.


Baadhi huamini kuwa watu huzaliwa hivyo lakini ukweli ni kwamba, mwanamke kuwa na uke mpana kabla hujazaa kuna uhusiano mkubwa na ngono kabla ya muda….wachunguzi wa mambo haya wanadai utafiti unaonyesha kuwa wanawake Ulaya wana Kuma kubwa/pana kwa vile ngono wanaianza wakiwa na umri wa miaka 13 au chini ya hapo……

Je unauhakika unaijua Kuma yako? Au wewe ni mmoja kati ya wale wanaoambiwa jinsi walivyo huko chini na wapenzi wao?

Acha hizo, ni mwili wako usijiogope, chukua kioo jichunguze, jishike, jifunze, tafuta na kuhakiki kama vile vitu ulivyosoma kwenye elimu viumbe kuhusu Uke kweli unavyo…..

usisahau kusoma

Ulimi Kisimini-Siri Ya Mwanamke Kufika Kileleni

Jinsi ya Kufurahisha mwanamke Katika Ngono

Chumvini-Kunyonya Kuma

Sehemu tofauti za utamu wa ngono kwa wanawake

No comments:

Post a Comment