Tuesday, March 31, 2009

Uwazi katika ngono

Uwazi katika ngono

Kama ilivyo kwenye mahusiano mengine ya Kikazi, Kifamilia na Kimapenzi, Ngono pia inahitaji uwazi. Natambua kwa namna moja au nyingine unahofia kuwa wazi kwa mpenzi wako kuelezea/omba kile ambacho unajua kinamfurahisha au anapenda kufanyiwa kabla ya ngono , wakatiwa ngono na baada ya ngono.

Hii ni kutokana na kasumba iliyojengeka kwa baadhi ya wanawake kuwa mwanamke hupaswi kuwa wazi sana kwenye swala hili kwa vile linamfanya mwanaume ajisikie vibaya (Ego thing),na matokeo yake wengi huwa wanaongopa/danganya kufurahia wakati mioyoni mwao wanatambua wazi kuwa hakuna raha au utamu wowote wanaoupata.

Kutokana na maendeleo ya Dunia hivi sasa wanaume wengi wameondoa mavumbi(Elimika/changamka/elewa) nafasi ya mwanamke katika swala la ngono tofauti na miaka ile ya nyuma ambapo tendo hili lilifanyika kumstarehesha Bwana na kuongeza ukoo(kuzaliana).

Kwa maana hiyo swala la mwanamke kufika kileleni halikutiliwa maanani na mwanaume au mwanamke mwenyewe, na ikiwa mwanamke anafurahia ngono wakati huo ilikuwa wale wachache ambao wamebahatika kwamba akiguswa tu kitu na box (kafika) sio wale ambao wanahitaji nusu saa au mpaka washukiwe huko chini.

Ngono imekuwa sio siri tena katika jamii, kwa maana kwamba somo hili linazungumziwa kwa uwazi zaidi kuliko ilivyokuwa miaka ile wakati mimi nakua au kabla sijazaliwa ambapo ilikuwa mwiko kwa mwanamke kuzungumzia.

Wapo wanaume wachache ambao wanafurahi ikiwa wapenzi wao wa kike wakiwa wazi kusema kile wanapenda/taka kufanyiwa, kuelezea kile wanachotamani, kuelezea hamu zao za ngono/nyege, kusema wapi akishikwa panampa raha au karaha, kumuonyesha kipele kilipo kama umebahatika kuwa nacho n.k.

Sisemi ukitoka hapa basi unamuibukia na kuanza kulalamika kwamba hajali nafasi yako wakati wa ngono au unamchomekea kuwa “toka tumekuwa pamoja sijawahi kusikia utamu wa kutombwa” wakati mnazozana kuhusu watoto au shughuli zenu za kifamilia n.k. hapana, wewe unamfahamu mpenzi wako vema kwa hiyo anza nae taratibu wote mkiwa kwenye hali nzuri kiakili, yaani mmetulia.

Unaweza kuanza kama utani kisha unamchomekea “nyuzi” lakini katika utani au unamsifia alafu unaunganisha jambo ktk kumsifia. Unapofanya hivi uwe makini usifananishe na mwanaume mwingine hata kama ni miaka 20 iliyopita (utaharibu mambo) na wala kumzungumzia shoga yako anavyomsifia/mdharau mpenzi wake. Hapo ni wewe na yeye ndio muhimu kwa wakati huo.

Natambua kuna wakati huwa mnakumbushana mlichokifanya, Iwe mara tu baada ya tendo, masaa machache baada, usiku uliopita au wiki iliyopita hata kama ni mwezi uliopita, jinsi ulivyojisikia au kama alikufanyia jambo jipya n.k. Ikiwa alifanya kama kawaida yake ambayo itakuwa “boring” basi ongeza chumvi tu ili asitoke kwenye mstari.

Hakikisha “chumvi” hiyo inakaribia ukweli(kutokana na alichokifanya) na haivuki ukweli(kutokana na alichokifanya). Mf:- Ikiwa yeye zake ni kuingia moja kwa moja ka’ baa wakati wewe unapenda aingize kichwa tu unamuibukia na hii:-“Abdul jana ulipokuwa ukiniingizia kabla haijaingia yote kuna mahali uligusa pale mwanzo, ili kuwa tamu kweli”,

Ikiwa yeye ni mtu wa ma-“speed” ibuka na hii:-Napenda unavyo fanya haraka alafu “pause unaenda taratibu” unapo fanya hivyo najisikia raha sana”,

Na kama yeye ni mtu wa akigusa kamaliza basi mwambie “napenda unitie kidole/ulimi kwa muda mrefu alafu ndio mboo”.

Sijasema ukaseme hivi ila najaribu kukupa mifano ambayo itakusaidia wewe kufikisha ujumbe bila kuomba moja kwa moja ikiwa mpenzi wako bado haelewi swala la uwazi ktk ngono na anadhani kuambiwa hajui/hawezi ni kumuumiza hisia zake.

Hivi unajua kuwa asilimia kubwa ya wanawake waliolewa huwa sio wazi sana kama wale ambao hawako ndani ya ndoa? Nimezungumza na baadhi ya wahusika hapo namaanisha wanaume na wanawake walio ndani ya ndoa na kuhoji ni kiasi gani wako wazi katika swala la ngono kati yao.

Baadhi ya “wahojiwa” wanakatabia ka’ kuchepuka nje ya mahusiano yao kwa vile kule huwa hakuna kujibana na kuheshimiana kwa uongo(Uoga) na wanadai kuwa huko hufurahia ngono zaidi kuliko wanapokuwa na wake/waume zao.

Nikang’amua kwamba wanafurahia na kuridhika kule nje kwa vile hakuna mipaka wanapofanyana na pia hakuna “aibu” au kuogopana kwa vile hujaoana na huyo muhusika huko nje na hakutokuwa na maswali umejulia wapi hivi? “Kwanini unataka nikufanyie hivi au vile wakati zamani tulipoanza hukuwa hivi au vile?”, “kwanini nikifanya hivi siku unafika haraka kuliko zamani, ulijaribu wapi?” Yaani yale maswali (mnayajua) ya kutojiamini, mimi nitasema ya kishamba na ya kibinafsi!

Nafahamu kuwa kuna baadhi ya wanawake wangependa kulambwa huko chini
(wanapata story kuwa ni tamu n.k.) lakini wanaogopa kuwa-ambia wapenzi wao kwa kuhofia kufikiriwa vibaya na wapenzi wao lakini wakati huohuo wanatoka nje nakufanyiwa hivyo na wanaume wengine.

Vilevile kuna wanaume ambao wangependa kulamba wapenzi wako huko chumvini lakini kwa bahati mbaya wanakataliwa au wangependa kujaribiwa kulambwa Tigo lakini badala ya kuwa wazi na kusema jinsi unavyojisiki au ungependa kujua utajisikiaje kwa kufanyiwa hivyo huibuka na binti mwingine ili kujaribu na hatimae kuridhika.

Wanasema kuna nguzo tano za kuwa na uhusiano wenye afya (mzuri) na mawasiliano/uwazi ni muhimu kuliko hayo mengine yaliyobaki. Mawasiliano hayako kwenye ngono tu bali kwenye kona zote za uhusiano wenu iwe ni uchumi, afya, maendeleo, familia n.k.


Mwisho kabisa napenda kusema kuwa, wapenzi huwa tunafanya mambo mengi ya ajabu sana (huwezi hata simulia) tunapokuwa tumejifungia vyumbani mwetu ili kufurahia “utukufu wa muumba”, na kama kuta nne zingekuwa zinazungumza basi mengi sana yangezungumzwa kuhusinana na tunayoyafanya tukiwa uchi.

*Hakuna uchafu kwenye ngono ikiwa mnapendana kwa dhati. Zile harufu asilia za miili yetu zinathamani na radha yake sasa kwanini usionje?

*Vimiminiko vyote vya mwili vina maana kubwa kwetu na vinaweza kukufanya upende au upendwe zaidi, sasa kwa nini usinywe/lamba?

*Kila sehemu ya mwili wako ina raha yake sasa kwanini usijaribu kuguswa kila kona nakufanyiwa mambo tofauti?

No comments:

Post a Comment