Friday, March 27, 2009

Siku ya kwanza

Siku ya kwanza!


Mara ya kwanza ni kwa bikira na siku ya kwanza ni kwa wale waliokwisha anza kushiriki tendo la watu kabla ya ruhusa kwa mujibu wa imani zetu za kidini a.k.a ndoa.

Unapoanzisha urafikia au unaporafikiana na mtu kimapenzi ni vema kama utasubiri na kumfahamu vema mtu huyo vizuri kabla hamjachojoana.

Lakini kama mnafahamiana vizuri na mkaamua kubadilishiana kibao na kuwa wapenzi mara nyingi hapa huwa hakuna subiri-subiri unasikilizia nature a.k.a Chemistry" inavyokusukuma dhidi na huyo rafiki ambaye ni mpenzi......

Swala muhimu kwa mwanamke ni kutulia (sio ubaki ka' gogo) bali jaribu kwenda au kufuata mtiririko. Siku ya kwanza ni siku ya kumjua mpenzi mpya......mkubwa/dogo kiasi gani, akiingiza je anaingia "deep" kiasi gani?,anafanya "kivita" "kimimi-mimi" au "kiromantiki" n.k

Usikimbilie kubinuka-binuka hata akiomba "doggy" mwambie siku nyingine na mtindo unaopaswa kuufanya siku hiyo ni kifo cha mende.

Kifo cha mende (mwanamke juu) ndio mkao asilia, rahisi, “comfortable” na utakao kuwezesha kumjua mwenzio kama unavyofahamu kuwa sote huwa tunakumbwa na hofu Fulani ambayo inaweza kuwa umsafi kiasi gani, uvutiaji wa mwili wako ukiwa mtupu, unavyobusu ndivyo au sivyo……siku ya kwanza na mpenzi mpya haina tofauti sana na siku ya kwanza shuleni au kazini.

Ni mwiko siku ya kwanza kumshukia/nyonya/lamba chini (kama unapenda hivyo) na badala yake tumia vidole na mikono yako kuchezea “bidhaa zake”, tumia muda mwingi kwenye kubusu na kulamba kona za mwili wake (kama huzijui basi bahatisha kwa kulamba kuanzia chini ya kidevu-shingoni-kifuani-tumboni-mbavuni na uishie kiunoni).


Kuna baadhi huofia kuwa wasipoolakini baadhi ya wanaume huwa wanahofia zaidi utendaji wao siku hiyo, wao hufanya kila wawezalo kuhakikisha wamekufurahisha na umeridhika hiyo ndio hofu yao kuu hivyo huitaji kujituma sana siku hiyo.


Ikiwa anakufanya vizuri usione soo kushukuru kwa kutaja jina lake, kuguna na kuhangaika kwa raha (utamu ukikolea unajikuta unazunguusha tu kiuno) au kumwambia kuwa ni tamu, raha, ongeza n.k.


Mwanaume akijua amekufurahisha na umeridhika (sio kwa ku-fake lakini) huwa anafurahi (mambo ya Ego) na kama alikuwa na hisia za mapenzi dhidi yako ni wazi kuwa zitaongezeka.


Mwanaume ulieanza kurafikiana nae na kujenga hisia za mapenzi baina yenu kamwe hawezi kukukimbia kwa vile hukumonyesha ujuzi wako jana, kwamba anadhani ndivyo ulivyo kuwa hujui kitu……mwanaume huyo mwenye hekima ataelewa kuwa ni siku ya kwanza na pia kama kweli ana nia na wewe basi atakuwa tayari kujifunza na wewe……


Wanaume wengi watulivu (sio Players) hupenda kuwa in-control, huumia kwa ndani (emotionally) ikiwa utamuonyesha utundu siku hiyo na yeye akaonekana hajui kitu mbele yako “mwanamke”……unatakiwa ku-“play cool”

1 comment: