Tuesday, March 31, 2009

Yote Kuhusu Matiti

Yote Kuhusu Matiti

Swala la mazoezi ya matiti halijaanza karne hii bali lilianza miaka mingi sana ktk Makabila fulani kwamba ilikuwa sehemu ya kumuandaa mwanamke kukaa vema kwa ajili ya mwanaume atakae muoa...

Matiti si kiungo muhimu sana ktk mwili wa mwanamke, lakini

matiti ni chakula bora cha mtoto na hukufanya uwe karibu na mwanao,
matiti hukupa wewe mwanamke raha fulani hivi yanapochezewa na mpenzi wako, matiti ni kivutio kikubwa kwa wanaume wengi,
matiti ni sehemu,
matiti ni kitambulisho cha UANAMKE,
matiti hufanya upendeze ndani ya nguo/mavazi na
matiti hayo kwa wanawake wengi ni kipele muhimu cha kunyegesha ikiwa tu yatanyonywa na kulambwa vyema......sio dume wajilambia tu ka vile walamba "chikilimu" (I ce cream 4 u) utamuudhi mkeo/mpenzio au atakudharau!

Kuna jinsi ya kusafisha matiti, kuna jinsi ya kuyatunza matiti ili yasilale kabla ya muda wake na bila kusahau matiti yanahitaji tizi (mazoezi).

Mazoezi ya Matiti yanayoanza kujitokeza!


Kama nilivyosema awali kuwa ikiwa wewe umechelewa(ulikuwa hujui hili wakati matiti yako yanaota) basi msaidie mdogo wako au binti yako anaekuwa hivi sasa, ili asije kujisikia vibaya pale wanaume watakapokuwa wakiponda/zungumzia matiti kwa kuyaita "malapa"...."flapy" n.k.

Kwanza kabisa hakikisha mtindo wa kulala ni kifudifudi (kulalia tumbo), kwa kufanya hivyo kunasaidia kwa kiasi kikuwa kufanya matiti yako yabaki/pumzike, kwamba hakuta kuwa na kuning'inia kama utakuwa umelala chali(lalia mgongo) au kiubavu.

Zoezi1
Asimame wima dhidi ya mlango au ukuta kisha aegeshe matiti yake mahali hapo kwa nguvu kisha aachie (ajitoe ukutani), zoezi hili hufanya matiti yaume sana lakini wewe kama dada/mama mpe moyo kuwa avumilie. Afanye hivyo mara 20 kila asubuhi.

Zoezi2
Simama wima huku mikono yako ikiwa imenyooshwa huku na kule kisha ipeleke mbele nakukutanisha viganja vyako alafu irudishe nyuma kadiri uwezavyo (sio lazima ikutane) ila utahisi maumivu fulani sehemu ya matiti (misuli yafanya kazi hapo)....fanya hivyo mara 10 na ongeza hesabu jinsi unavyokua.

Zoezi3
Ukiwa umesimama wima na mikono yako imenyooshwa huku na kule inanyue taratibu kuelekea juu na kutanisha vidole vyako huko juu kisha rudisha mikono ilipokuwa (imenyooka huku na kule).


Utunzaji wa matiti wakati wa hedhi na Ujauzito!


Natambua kuwa uvaaji wa sidiria wakati matiti yanakua, wakati wa hedi na wakati wa ujauzito ni karaha sana na unahisi kubanwa tu (kwa vile yanauma kiaina) na hali hiyo hufanya wengi kuachana nazo na kuachia matiti yakining'inia bila "support".

Kama nilivyosema awali kuwa matiti wakati wa hedhi huongezeka ili kuwa tayari kutengeneza chakula cha mtoto ambae kwa wakati huo yai lako linakuwa likisubiri kurutubishwa na mbegu ya kiume lakini hilo lisipotokea basi matokeo yake ni wewe kupata hedhi.

Si wanawake wote wanaopata maumivu/ongezeko la ukubwa wa matiti wakati wanakaribia hedhi na wakati wa hedhi, lakini ikiwa wewe ni mmoja ya wale ambao matiti huongezeka ukubwa unapokaribia na wakati wa hedhi basi hakikisha unafanya mazoezi kama niliyoeleza kule mwanzo na pia zingatia kuvaa sidiria wakati wote isipokuwa wakati wa kulala.

Vilevile kwa wamama wajawazito ni vema kuvaa sidiria ili kuyasaidia uzito wa matiti yako usiyavute kwenda chini hali itakayopelekea kuwa na matiti yaliyolala mara baada ya kujifungua.


Vaa sidiria au vest kadili siku zinavyo kwenda!


Jinsi matiti yanavyokuwa ndio uzito wake huongezeka hivyo kama binti/mwanamke unahitaji kuyasaidia kwa kuvaa kitu ambacho kitayasaidia kubaki pale yanapopaswa kubaki......nina maana vaa sidiria.

Vest ivaliwe wakati ukifanya mazoezi au unaweza kujifunga khanga (nyepesi) chini ya matiti yako hali itakayosaidia matiti yasiume sana wakati unafanya unayasumbua(inategemeana na ukubwa wake).

Wakati nakuwa wanawake wengi walikuwa wakiamini kuwa kuvaa sidiria kunasababisha matiti kuanguka; sio kweli.

Kumbuka kutovaa sidiria wakati wa kulala kwani naweza kusababisha uvimbe (damu kujikusanya pamoja) ktk matiti yako na badala yake lala kifudifudi(lalia matiti yako a.k.a lalia tumbo) ili kuya-support.



Usafishaji wa Matiti


Hakikisha unasafisha eneo zima la matiti hasa sehemu ya chini (ikiwa wameanguka tayari) kama ilivyo sehemu nyingine ya mwili wako, vilevile hakikisha chuchu zimejitokea na usafishe vema chuchu hiyo....hii sio kwa walionyonyesha au wanaonyonyesha tu bali hata wewe ambae hujawahi kuwa na mtoto.

Unatambua kuwa unapokuwa mtu mzima chuchu hutoa kashombo fulani hivi ambako husababishwa na utokwaji wa majimaji fulani unapokaribia hedhi na wakati wa hedhi (hii ni kutokana na matiti hayo kutengeneza maziwa ikiwa utarutubisha yai lako).



Kunyonywa/chezewa matiti yako ili kuzuia yasianguke haraka



Hakikisha mpenzi wako anayanyonya akiwa ameshikilia au wewe umeyashikilia, vilevile hakikisha anapo yapapasa au kuyatomasa, basi afanye hivyo bila kuyahangaisha....kwamba ahakikishe yametulia.

Unapokuwa kwenye mkao wowote unaosababisha matiti yako yasumbuke basi hakikisha mpenzi kayakamata sawa au kama wewe mwenyewe hujapoteza akili kwa raha basi yashikilie....kwa kufanya hivyo kutasaidia matiti yako yasilegee kabla ya wakati.

Ni wazi kuwa matiti yanakwenda kulegea pale yatakapokuwa yanapoza homoni yaani yaani mwamke kuzeeka lakini kuzaa au kuwa mdada mkubwa (over 40) sio sababu ya kujiachia.

No comments:

Post a Comment