Thursday, March 26, 2009

Yote Kuhusu Shahawa

Vyote Kuhusu Shahawa

Shahawa sio uchafu


Ktk swala zima la kufanya mapenzi/ngono na mpenzi huwa tunajikuta tunafanya vijimambo vya ajabu sana ambayo ukimuelezea mtu anaweza akakuona "wewe namna gani?" lakini ktk hali halisi tunayafanya hayo mambo kwa mapenzi yetu yote na pengine tunapata raha fulani ktk kufanya hivyo vijimambo.

Sasa kwenye hivyo vijimambo vingi tuvifanyavyo kuna hiki kimoja nimekichagua ambacho ni kitamu sana (sio kama pipi au asali bali utamu ule wa kimapenzi) na kitakachokusogeza karibu zaidi na mpenzi wako nacho ni kuthamini Shahawa za mpenzi a.k.a cum a.k.a manii a.k.a maziwa a.k.a krimu (as cream) kwa kuzichezea, kuziramba, kuzipaka mwilini n.k.

Natambua kuwa wengi hushindwa kuwa huru kucheza na "kimiminika" hicho kutokana na harufu yake kali au kwa vile wanaume wenyewe wanaziona/chukulia Shahawa zao kama uchafu. Sikia, chochote kinachotoka mwilini mwa mpenzi wako unaempenda kwa dhati kama matokeo ya kufanya mapenzi (jasho, "cum", mate n.k.) sio uchafu.

Nitakupa maelezo mafupi ya nini chakufanya ili Shahawa zako zisiwe na shombo kali wewe mwanaume na kwa mwanamke nitakuambia namna ya kujifunza kucheza, kulamba na hatimae kujaribu kumeza shahawa bila kusahau faida ya Shahawa.

Mwanaume-Unapaswa kuangalia lishe yako na nini unakunywa(kama utaweza achana na bia na badala yake kunywa maji mengi zaidi) ili kuondoa shombo ya Shahawa na hivyo iwe rahisi kwa mpenzi wako kucheza nazo, onyesha unazijali nakuzipenda ili mpenzi wako azipende pia (ukidhani ni uchafu na zinatoka kwako...mtu mwingine atafanya nini?).

Acha kabisa tabia ya kukimbilia bafuni kuoga au kusafisha "kiungo" au kukimbilia kitambaa/tissue kila baada ya mzunguuko na badala yake baki hapo na onyesha unazithamini kwa kuzishika na kuzipaka juu ya ngozi yake (pale ulipomalizia).

Mtakapo maliza mizunguuko yenu na mmetosheka ndio mnakwenda kuoga/safisha wote......mpango wa kuoga kila baada ya kumwaga sio tu unamkosha mwanamke haki yake kitandani bali pia kunamjengea dhana potofu kuwa Shahawa ni uchafu.


Mwanamke-Unatakiwa kujifunza taratibu na jinsi siku zinavyoenda ndivyo ambavyo utakuwa ukizoea, kitu cha kwanza unacho paswa kufanya ni kuziona zinavyotoka hivyo hakikisha unaangalia uume pale ambapo mwanaume anamwaga mahali popote kitandani au hewani.


1.Mruhusu au ruhusu amwage mwilini mwako, iwe ni kwenye matiti, kwenye makalio, tumboni, kifuani, usoni au juu ya uke wako (akikisha haziteremki ukeni ikiwa huna mpango wa “kumimbwa”) na zikiwa mahali hapo jaribu kuzishika/chezea kwa mikono yako kwa kuzipaka-paka au kuzisambaza sehemu nyingine ya mwili wako.


2.Utakuwa umeshazizoea kuziona, kuzishika na kuzinusa na hivyo itakuwa rahisi kwako wewe kujua una “deal” na “kimiminika” kizuri kitokako kwa mpenzi wako mara baada yakufanya tendo “takatifu”.
Tumia kidole/vidole vyako kuchovya Shahawa na kisha zilambe (hakikisha una kinywaji chenye uchachu au tunda lenye uchachu kama vile embe, chungwa, nanasi n.k.) na mara baada ya kulamba kula tunda lako (najua bado ile kasumba kuwa ni uchafu itakuwa inakumbua hivyo kula kipande cha tunda itakusaidia kuondoa utelezi mdomoni mwako).


3.Andaa vipande vya matunda matamu lakini yenye asili ya uchachu kama embe, nanasi au strawberries na kisha mpe mkono (mchue) au mdomo (BJ) mpenzi wako na muombe amwagie Shahawa juu ya vipande vya matunda yako na kisha kula matunda hayo yakiwa na “cream” na ninakuhakikishia utakuwa umemfurahisha mpenzi wako na atahisi kuthaminiwa sana na wewe bila kusahau hisia nyingine za kimapenzi juu yako zitaongezeka.


4.weka uume mdomoni wakati mpenzi anamwaga Shahawa.
Kama nilivyosema awali hakikisha kuwa pembeni mwa kitanda au mahali mnapofanyia mapenzi kuna matunda yenye asili ya uchachu au kinywaji chochote chenye asili hiyo na kula au kunywa mara tu baada ya kumeza shahawa kwani huwa zina ukakasi Fulani kooni na kwa kula tunda au kunywa kijwaji kitamu na chenye uchachu kitasaidia kuondoa ukakazi huo.


Faida ya Shahawa-Hufanya ngozi yako kunawili na kuwa laini na mororo/nyororo ikiwa utakuwa na tabia ya kuzipaka juu ya ngozi yako kama “cream au Lotion”.

Hasara-Kuwa hatarini au kuambukizwa Magonjwa ya ngono ikiwa ni pamoja na UKIMWI.

Utata-Shahawa haziondoi chunusi usono au mahali pengine popote kwa vile ni protini sio asidi lakini inaondoa vipele au ukavu wa ngozi nakuifanya iwe laini, hivyo kama unachunusi ni wazi kuwa ngozi yako mahali hapo ni ya mafuta kw hivyo hutakiwiwi kuongeza kitu chenye mafuta au protini.

Shahawa zinaniwasha....


Jibu:Kwa kawaida Shahawa haziwashi au hata kusababisha muwasho unless hupatani nazo yaani uwe na aleji(Allergy to Semen/Sperm), kitu nitakachoweza kuhisi kuhusiana na tatizo lako ni maambukizo ya Fangazi/si au wengine huiita “Yeast” kitaalamu inajulikana kama “Candida Albicans” ambapo ule ukakasi/uchachu (unategemea na lishe ya mpenzi wako) unapoingia kwenye vijipasuka/vipele vilivyopasuka kwa ndani husababisha muwasho.
Nakushauri unamuone Daktari ili akupime (atahitaji mkojo au swab ya majimaji huko ukeni) kisha atakushauri na kukupa matibabu kutegemeana na tatizo alilotambua kwenye vipimo vyake.

Afya ya uke ni muhimu sana kuliko hata kinywa au uso wako na unatakiwa mwangalifu wakati unatumia sabuni, maji (chemsha ili kuwa na uhakika), vifaa unavyotumia kujisafishia ukiwa Gym au kama unaishai nyumba za kupanga zenye Kopo/bomba moja chooni, choo kwani kuna vyoo vimejaa kiasi kwamba ukichutama sehemu zako nyeti zinatishia kugusa vinyesi vya watu wengine, taulo la kujifutia na hata uchangiaji wa nguo za ndani (hata kama unafua kwa Jick) still unakuwa kwenye hatari ya kuambukizwa bila kujijua.


Ninachojaribu kusema hapa ni kuwa usijisikie vibaya kwenda kumuona Daktari Bingwa wa Magonjwa ya kike kwa ushauri wa kitibabu hali kadhalika dawa, kwani dawa zinapatikana kwa wingi na nyingine zinaozea stoo kwa vile wanawake wanaona aibu kwenda kuomba ushauri ili kupata matibabu.

Magonjwa ya ngono kwa wanawake ukiachilia yale makuu kama kisonono, kaswende, HIV n.k. yapo mengine madogo madogo ambayo sio lazima uyapate kwa kufanya ngono bali kwa njia nyingine zitokananzo na mitindo ya maisha tunayoishi, kutokujua/kutokujali afya ya uke, mabadiliko ya homono hasa kama wewe ni mtumiaji wa madawa ya kuzuia mimba n.k.


Shahawa na Mimba

Baadhi ya watu wanadhani au wanaamini kuwa Shahawa huishi ndani ya mwili wa mwanamke kwa masaa 72 ambayo ni sawa na siku tatu, lakini ukweli ni kuwa Shahawa huzunguuka nakushambulia "Womb" ili zikakutane na yai ili kuwa kiumbe kwa muda wa siku saba.

Ndio maana wale wenzangu wanaotumia njia ya asilia ya kuzuia mimba
huwa wanashangaa nakuchanganyikiwa pale wanapogundua wamenasa wakati siku zilikuwa "salama", unatakiwa kufanya mahesabu yako vema....vinginevyo Tumia Condom

Vilevile kuna wale wanaotumia Condom baada ya mwanaume kuonja bila chuku-chuku alafu wanakuja shangaa au kataa mimba na kudai kuwa walifanya kwa kutumia kinga (Condom).....tambua kuwa yale maji-maji yenye uterezi na radha ya chumvi-chumvi yanayojitokeza kutokana na nyege pale kwenye jicho la uume hubeba shahawa pia.

Tambua kuwa tone la shahawa lenye ukubwa wa nukta hubeba karibu mbegu elfu moja na mia tano(1,500)......sasa niambie maji-maji yale yanabeba "nukta" ngapi za Shahawa?

No comments:

Post a Comment