Monday, March 30, 2009

Matiti na kungonoka

Matiti na kungonoka

Matiti yanawakilisha "comfort", Ulinzi, mapenzi/upendo," compassion", vilevile "manyonyo" hayo ni alama ya ujinsia wa wanawake na si hivyo tu bali sehemu hii ya mwili inamfanya mwanamke "anyegeke" vema na kwa urahisi bila kujali utofauti (kila mwanamke ana kona zake za kunyegeka lakini matiti yanatoa "ashiki" sawia kwa wote unless mwanaume hajui wajibu wake).

Wengi huamini kuwa matiti ni kwa ajili ya kunyonyesha mtoto au chakula cha mtoto, lakini ukweli ni kwamba 1/3 ya tissue inayotengeneza titi ndio inahusika na uzalishaji wa maziwa na sehemu iliyobaki (yaani ule mviringo au "cup") ni maalumu kabisa kwa ajili ya ngono.

Adui mkubwa wa sehemu hii ya mwili ni kupoteza ile hali ya u-firm na kulala hali inayosababishwa na mabadiliko ya mwili wako jinsi unavyokuwa na vilevile kutojua jinsi ya kuyatunza au kuyajali hasa ulipokuwa ktk umri mdogo. Acha kile kipindi cha titi moja kujitokeza na kutoweka kama mara 4 hivi bali ule wakati yote mawili yamejitokeza.

Vile utunzwaji wa matiti na kuyajali ni muhimu pia kabla ya hedhi na wakati wa hedhi kwani ktk kipindi hicho matiti huongezeka uzito nahivyo kuhitaji "support" ili yasielemee kwa chini, vilevile matiti yanahitaji "support" unapokuwa mjamzito kwa vile huongezeka ukubwa na uzito pia.

Ifahamike kuwa matiti hayana misuli hivyo ikiwa hujaya zoesha kubaki pale yalipo kutokana na mtindo wa kulala, kufanya mazoezi kama vile kuogelea na mazoezi mengine ya misuli ya kifua, mikono bila kusahau "support" kwa kuyavalia sidilia tangu ulipokuwa yakijitokeza, ukafikia hedhi, wakati wa ujauzito na hatimae kuwa mama (kunyonyesha) basi nasikitika kusema kuwa hakuna njia asilia ya kurudisha u-firm wake.


Matumizi ya matiti ktk Ngono.


Titi lote halina raha kama Chuchu (kiungo kidogo lakini mambo yake ni makubwa), Chuchu ikichezewa kwa kidole au ulimi kama vile inapigwa brashi a.k.a katerero hutoa msisimko wa ajabu sana kwa mwanake.

Chuchu hiyo hainyonywi kwa kuvuta (kama unataka maziwa yatoke) bali inayonywa katika mtindo wa kubusu, vilevile mwanaume ukitaka mpenzi wako afike haraka basi wakati uko juu yake (kifo cha mende) pindisha shingo na mtie huku unamnyoya chuchu yake.....natumaini una uwezo wa kufanya kazi zaidi ya moja wakati unafanya mapenzi....

Soma hapa kwa jinsi ya kutunza matiti

Ngono ni sanaa

No comments:

Post a Comment